Pasta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Image:Pasta_2006_1.jpg|thumb|350px|Aina za pasta]]
 
'''Pasta''' ni neno lenyalenye asili ya [[Kiitalia]] kinachojumlisha chakula cha [[tambi]] kilichotengenzewa kwa kutumia [[unga]] wa [[nafaka]] (hasa [[ngano]]) na [[maji]].
 
Aina ya pasta inayofahamika zaidi ni [[spaghetti]]. Lakini kuna aina nyingi za pasta.
Mstari 8:
Chanzo cha pasta hufanana kiasi na [[ugali]] yaani unga ([[wanga]]) unakorogwa na maji isipokuwa maji ni baridi. [[Kinyunga]] kinachotokea ni imara sana hukatwa kwa vipande vidogo venye maumbo mbalimbali na kupikwa kama vipande vya pekee. Kama pasta imekauka inatunzwa kwa muda mrefu hauozi na inapikwa haraka. Madukani inauzwa kama pasta kavu.
 
Kuna namna nyingi za kubadilisha kinyungo asilia kwa kuongeza mayai, mafuta, jibini na menginevingine ndani yake.
 
Utamu wa chakula cha pasta unakuja pamoja na mchuzi au supu zake.