Mtaguso Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: nl:Oecumenische concilies
No edit summary
Mstari 1:
Kadiri ya imani ya [[Kanisa Katoliki]], [[Yesu]] aliwakabidhi [[mitumeMitume]] kumi na wawili uongozi wa [[Kanisa]] wakiwa kundi moja lenye mkuu wake, yaani [[Petro]].
 
Vilevile waandamizi wao, yaani maaskofu wote, ni kundi moja na [[papaPapa]] wa [[Roma]] ndiye mkuu wao. Huyo peke yake, na kundi la maaskofu likiwa pamoja naye na chini yake, ndio wenye [[mamlaka]] ya juu katika Kanisa lote.
 
Mamlaka hiyo inatumika kwa namna ya pekee unapofanyika mtaguso mkuu, yaani mkutano maalumu wa maaskofu uliokubaliwa na papaPapa kuwa unawakilisha kundi hilo lote.
 
Kwa kiasi fulani ndiyo imani ya [[WaortodoksiWaorthodoksi]] pia, ingawa hao wanapunguza umuhimu wa mchango wa mamlaka ya papaPapa. Kwa namna ya pekee hao wanakataa mitaguso mikuu iliyofanyika baada ya utengano uliotokea kati yao na papaPapa. Hivyo baadhi yao wanakubali mitaguso mitatu ya kwanza tu, au ile minne ya kwanza tu, au ile saba ya kwanza tu kati ya ile 21 inayokubaliwa na Kanisa Katoliki, ambayo inaorodheshwa hapa chini.
 
Katika [[milenia]] ya kwanza ilifanyika mashariki ([[Uturuki]] wa leo):
KATIKA MILENIA YA KWANZA ILIFANYIKA MASHARIKI (UTURUKI):
1. Nisea I (mwaka 325)
2. Kostantinopoli I (381)
3. Efeso (431)
4. Kalsedonia (451)
5. Kostantinopoli II (553)
6. Kostantinopoli III (680-681)
7. Nisea II (787)
8. Kostantinopoli IV (869-870)
 
1. [[Mtaguso wa kwanza wa Nisea]] (mwaka 325)
KATIKA MILENIA YA PILI ILIFANYIKA MAGHARIBI (ITALIA, UFARANSA, UJERUMANI):
9. Laterano I (1123)
10. Laterano II (1139)
11. Laterano III (1179)
12. Laterano IV (1215)
13. Lyon I (1245)
14. Lyon II (1274)
15. Vienne (1311-1312)
16. Kostansa (1414-1418)
17. Firenze (1439-1445)
18. Laterano V (1512-1517)
19. Trento (1545-1563)
20. Vatikano I (1869-1870)
21. Vatikano II (1962-1965)
 
2. [[Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli]] (381)
Msimamo wa [[Waprotestanti]] ni tofauti sana, kwa kuwa hao hawatii maanani mapokeo ili wasisitize umuhimu wa [[Biblia]]. Hata hivyo wengi wao wanashikilia imani juu ya [[Yesu Kristo]], juu ya [[Roho Mtakatifu]] na juu ya [[Utatu mtakatifu]] kama ilivyofundishwa rasmi katika mitaguso ya kwanza.
 
3. [[Mtaguso wa Efeso]] (431)
Mitaguso mikuu ya kwanza ilifanyika hasa ili kubainisha katika mafundisho yaliyogongana yapi yanalingana na imani sahihi. Mwisho wake ulikuwa kutangaza dogma fulani na kutenga na Kanisa watakaokataa kuiamini na watakaofundisha tofauti.
 
4. [[Mtaguso wa Kalsedonia]] (451)
Kumbe mitaguso iliyofanyika baada ya farakano la mwaka 1054 kati ya Kanisa la Mashariki na la Magharibi, pamoja na kulenga umoja uliovunjika na kufundisha dogma mpya, ilishughulikia zaidi urekebisho wa Kanisa katika ngazi na nyanja zote. Kwa namna ya pekee mtaguso wa pili wa Vatikano tangu uitishwe ulijulikana kuwa wa kichungaji, yaani usio na lengo la kufundisha dogma mpya wala kulaani mafundisho mengine.
 
5. [[Mtaguso wa pili wa Konstantinopoli]] (553)
 
6. [[Mtaguso wa tatu wa Konstantinopoli]] (680-681)
 
7. [[Mtaguso wa pili wa Nisea]] (787)
 
8. [[Mtaguso wa nne wa Konstantinopoli]] (869-870)
 
Katika milenia ya pili ilifanyika magharibi ([[Italia]], [[Ufaransa]] na [[Ujerumani]] wa leo):
 
9. [[Mtaguso wa kwanza wa Laterano]] (1123)
 
10. [[Mtaguso wa pili wa Laterano]] (1139)
 
11. [[Mtaguso wa tatu wa Laterano]] (1179)
 
12. [[Mtaguso wa nne wa Laterano]] (1215)
 
13. [[Mtaguso wa kwanza wa Lyon]] (1245)
 
14. [[Mtaguso wa pili wa Lyon]] (1274)
 
15. [[Mtaguso wa Vienne]] (1311-1312)
 
16. [[Mtaguso wa Kostansa]] (1414-1418)
 
17. [[Mtaguso wa Firenze]] (1439-1445)
 
18. [[Mtaguso wa tano wa Laterano]] (1512-1517)
 
19. [[Mtaguso wa Trento]] (1545-1563)
 
20. [[Mtaguso wa kwanza wa Vatikano]] (1869-1870)
 
21. [[Mtaguso wa pili wa Vatikano]] (1962-1965)
 
Msimamo wa [[Waprotestanti]] ni tofauti sana, kwa kuwa hao hawatii maanani [[mapokeo]] ili wasisitize umuhimu wa [[Biblia]]. Hata hivyo wengi wao wanashikilia imani juu ya [[Yesu Kristo]], juu ya [[Roho Mtakatifu]] na juu ya [[Utatu mtakatifu]] mtakatifu kama ilivyofundishwa rasmi katika mitaguso ya kwanza.
 
Mitaguso mikuu ya kwanza ilifanyika hasa ili kubainisha katika mafundisho yaliyogongana yapi yanalingana na imani sahihi. Mwisho wake ulikuwa kutangaza dogma fulani na kutenga na Kanisa watakaokataa kuiamini na watakaofundisha tofauti.
 
Kumbe mitaguso iliyofanyika baada ya farakano la mwaka 1054 kati ya [[Kanisa la Mashariki]] na [[Kanisa la Magharibi]], pamoja na kulenga umoja uliovunjika na kufundisha dogma mpya, ilishughulikia zaidi urekebisho wa Kanisa katika ngazi na nyanja zote. Kwa namna ya pekee mtaguso wa pili wa Vatikano tangu uitishwe ulijulikana kuwa wa kichungaji, yaani usio na lengo la kufundisha dogma mpya wala kulaani mafundisho mengine.