Konstantinopoli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
Baada ya kutwaliwa na Waturuki [[Waosmani]] ulikuwa mji mkuu wa [[milki ya Osmani]] hadi [[1922]].
 
Mji ulianzishwa upande wa [[Ulaya]] wa [[mlangobahari]] wa [[Bosporus]] kati ya hori la "pembe ya dhahabu" na [[Bahari ya Marmara]].
 
Leo hii mji huo wa Kituruki umevuka Bosporus ukienea hata upande wa [[Asia]].
Mstari 13:
Ulibadilishiwa jina mara kadhaa katika historia yake ndefu: Bizanti, Roma Mpya (Kigiriki: Νέα Ῥώμη), Konstantinopoli, tena Bizanti, Stambul, halafu [[Istanbul]] (tangu 1930).
 
Katika [[Ukristo]] ni muhimu kama makao ya [[Askofu]] wa pili kwa heshima kati ya Maaskofu wote duniani, kadiri ya orodha iliyotolewa na [[Mtaguso Mkuu|mitaguso mikuu]] ya [[karne ya 4]].
 
{{mbegu}}