Spishi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[image:Uainishaji.png|right|thumb|150px|Ngazi za uainishaji katika biolojia; ngazi ndogo za kati hazionyeshwi]]
'''Spishi''' ''(kutoka [[Kilatini]] "species" yaani aina, maumbile)'' katika [[biolojia]] ni jina la kutaja kundi la wanyama au mimea wa aina moja. Spishi ni Kitengo muhimu katika [[uainishaji wa kisayansi]].
Mstari 7:
Spishi za karibu hupangwa pamoja katika [[jenasi]].
Mfano: [[mbwa]], [[mbweha]], [[mbweha wa Ethiopia]] na [[koyote]] wa Marekani wote ni spishi mbalimbali wa jenasi inayoitwa "canis". Ndani ya spishi hizi kuna nususpishi ambazo ni tofauti kiasi kwa maumbile na maisha lakini bado wanafanana kiasi cha kuzaa pamoja kama wanakutana.
{{stub}}
|