Mwamba (jiolojia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: cs:Skála
No edit summary
Mstari 8:
*mwamba wa mgando au mwamba wa kivolkeno unajitokeza pala ambako [[magma]] au [[lava]] inaganda.
*mwamba mashapo hutokea pale ambako miamba inavunjika na kusagwa katika [[mmomonyoko]] na mashapo yanakandamizwa kwa njia ya kanieneo ya mashapo ya juu hadi mashapo kuwa mwamba mapya.
**aina ya pekee ni [[visukuku]] ambayvo ni mashapo yaliyosababishwa na wanyama au mimea itakayokuwa mwamba mashapo baadaye. Mfano: [[makaa mawe]].
*mwamba metamofia ni mageuzi ya miamba ya awali -ama ya kivolkeno au ya mishapo- kwa njia ya kanieneo kubwa sana na joto kali kuwa aina mpya ya mwamba. Metamofosi kwa kawaida hutokea katika kina kubwa.