Selman Waksman : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d viungo vya tarehe na miaka
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Selman Abraham Waksman''' ([[22 Julai]], [[1888]] – [[16 Agosti]], [[1973]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Ukraine]]. Baadaye alihamia na kupata uraia wa [[Marekani]] (mwaka wa 1916). Hasa alichunguza [[vijiumbe]] vya ardhini na kugundua [[kiua vijasumu|viua vijasumu]]. Mwaka wa [[1952]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''.
 
[[Category:Wanasayansi]]