Severo Ochoa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: de:Severo Ochoa
d viungo vya tarehe na miaka
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Severo Ochoa''' ([[24 Septemba]], [[1905]] – [[1 Novemba]], [[1993]]) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya [[Hispania]]. Hasa alichunguza [[kimeng’enya|vimeng’enya]] vya [[chembe hai]]. Pia alifaulu [[kusanisi]] [[DNA]]. Mwaka wa [[1959]], pamoja na [[Arthur Kornberg]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''.
 
[[Category:Wanasayansi]]