Tofauti kati ya marekesbisho "Moravian Theological College"

no edit summary
(New page: '''Motheco''' au '''Moravian Theological College''' ilikuwa Chuo cha Theolojia cha Kanisa la Moravian Tanzania katika mji wa Mbeya (Tanzania). Kilianzishwa mwaka 1969 huko [[Ch...)
 
'''Motheco''' au '''Moravian Theological College''' ilikuwa Chuo cha Theolojia cha [[Kanisa la Moravian Tanzania]] katika mji wa [[Mbeya]] ([[Tanzania]]). Kilianzishwa mwaka 1969 huko [[Chunya]] na kuhamia Mbeya mwaka 1978. Kilifundisha wachungaji wa [[Kanisa la Moravian Tanzania]] pia la Kilutheri hadi kiwango cha cheti na diploma.
 
1990 kozi ya BD (Bachelor of Divinity) ilianzishwa.