Tofauti kati ya marekesbisho "Mwamba (jiolojia)"

2 bytes removed ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
[[image:Logan Rock from below.jpg|thumb|Graniti ni mwamba wa kivolkeno]]
'''Mwamba''' katika '''[[jiolojia''']] ni namna ya kutaja [[mawe]] au zaidi mchanganyiko wa [[madini]] ulio imara katika hali asilia. Jiwe ni kipande cha mwamba.
 
Takriban madini 30 hufanya sehemu kubwa ya miamba ya dunia ni hasa silikati na kabonati.