Wamarekani weusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: eo:Afroamerikanoj
No edit summary
Mstari 4:
 
 
'''Wamarekani weusi''' ni watu wanaoshi nchini [[Marekani]] wakiwa wanana mababu waliotoka [[Afrika]]. Mara nyingi mababu hao walipelekwa Marekani kama [[watumwa]] katika karne zilizopita. Jina hili laweza kutaja pia watu ambao wazazi wao au hao wenyewe walihamia Marekani kutoka Afrika karibuni tu.
 
Watumwa walipelekwa Marekani kutoka Afrika kati ya 1619 na 1807 hasa wakati usafirishaji wa watumwa kutoka Afrika ulipigwa marufuku. Katika utamaduni wa Marekani kila mtu mwenye babu Mwafrika huhesabiwa kama "mtu mweusi" hata kama uzazi wake ni wa [[chotara]] na sehemu kubwa walikuwa watu weupe.