Wenzo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|150px|Kwa wenzo mtu anapandisha mzigo mkubwa '''Wenzo''' ni mashine sahili inayosaidia kuhamisha na kupandisha mizigo mikubwa kwa kutumia nguvu...
 
No edit summary
Mstari 14:
:: <math>F_\mathrm{K} \cdot D_\mathrm{K} = F_\mathrm{M} \cdot D_\mathrm{M}</math>
[[Image:Palanca-ejemplo.jpg|thumb|150px|Kwa kutumia wenzo kani ndogo ya 5 [[kg]] inaweza kuwa sawa na kani ya 100 kg.]]
 
==Utaalamu==
Watu waligundua nguvu ya mwenzo tangu kale. Wamisri walitumia nyenzo waliposafirisha mawe makubwa kwa ujenzi wa [[piramidi]].
 
Mtaalamu wa [[Ugiriki ya Kale]] [[Archimedes]] alikuwa mtu wa kwanza wa kuelewa na kutamka kanuni ya [[nguvu ya wenzo]]: "Uzani mbili sawa zikiwa na umbali sawa na nukta fungwa ziko katika hali ya [[msawazo]], na uzani mbili sawa zisizo na umbali sawa hunama upande wa uzani ulio mbali zaidi".