Ubalehe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sh:Pubertet
kuongeza kichwa cha makala
Mstari 1:
'''Kubalehe''' ni jumla ya mabadiliko ya kimwili na kiroho yanayomfanya [[mtoto]] kuwa kijana halafu mtu mzima.
Ingawa kila mtu ni [[mwanamume]] au [[mwanamke]] tangu atungwe (kadiri alivyo na [[kromosomu Y]] au la), kabla ya kubalehe tofauti hazionekani sana, isipokuwa katika [[viungo vya uzazi]]. Kumbe muda unafika wa [[watoto]] kuanza kukomaa kijinsia: ndipo tofauti zinapojitokeza wazi.
 
Kutoka [[utoto]]ni kuingia [[utu uzima]] kuna mabadiliko ya haraka katika [[viungo]], [[hisia]] na [[roho]]. Kama ilivyo kwa [[viumbe hai]] wote, [[ustawi]] huo unaweza ukawahi au kuchelewa, lakini kwa kawaida unatokea kati ya [[umri]] wa miaka 12 na 16. [[Wasichana]] wanawahi kuliko [[wavulana]], na [[Wazungu]] kuliko [[Waafrika]], lakini mabadiliko ni yaleyale, nayo yanafanyika hatua kwa hatua.