Johannes Stark : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuongeza 'Category'
d viungo vya tarehe na miaka
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Image:Johannes_Stark.png|right|frame|Johannes Stark, 1919]]
'''Johannes Stark''' ([[15 Aprili]], [[1874]] – [[21 Juni]], [[1957]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Hasa alichunguza maswali ya umeme. Mwaka wa 1905 aligundua [[athari ya Doppler]] katika mionzi maalumu. Mwaka wa [[1919]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.
 
[[Category:Wanasayansi]]