Tofauti kati ya marekesbisho "Owen Chamberlain"

37 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
no edit summary
 
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Owen Chamberlain''' (amezaliwa [[10 Julai]], [[1920]] – [[28 Februari]], [[2006]]) ni mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alifanya utafiti wa [[fizikia ya kiini]] na kugundua vipande vingi vya [[atomu]]. Mwaka wa [[1959]], pamoja na [[Emilio Segre]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.
 
[[Category:Wanasayansi]]
62,394

edits