Tsung-Dao Lee : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Tsung-Dao Lee''' (amezaliwa [[25 Novemba]], [[1926]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[China]]; baadaye alihamia [[Marekani]]. Hasa alichunguza vipande vya [[atomu]] na nadharia yake. Mwaka wa [[1957]], pamoja na [[Chen Ning Yang]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.
 
[[Category:Wanasayansi]]