Karthago : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: th:คาร์เธจ
No edit summary
Mstari 3:
'''Karthago''' ([[Kilatini]] ''Carthago'', [[Kigiriki]] Καρχηδών ''Karchēdōn''; katika lugha asilia ya [[Kifinisia]] ''Qart-Hadašt'', yaani "mji mpya") ilikuwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita mji mkubwa katika [[Afrika ya Kaskazini]] karibu na [[Tunis]] ya leo nchini [[Tunesia]].
 
Karthago iliundwa mnamo [[814 KK]] na [[Wafinisia]] kutoka pwani la [[Shamu]] na [[Lebanon]] kama [[koloni]]. Ikakua kuwa mji mkubwa kabisa katika magharibi ya [[Mediteranea]]. Ilitawala maeneo ya pwani katika nchi za leo za Libya, [[Tunesia]], [[Algeria]], [[Moroko]], [[Hispania]], [[Ureno]] na [[Ufaransa]] pamoja na visiwa vikubwa vya Mediteraneo.
 
Baada ya kuvamiwa na [[Dola la Roma]] mwaka [[146 KK]] Karthago ikawa mji wa Kiroma. Kati ya [[439]] hadi [[533]] ilikuwa [[mji mkuu]] wa ufalme wa [[Wavandali]] katika Afrika ya Kaskazini halafu ikarudi chini ya [[Bizanti]].