Mtaguso Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Mtaguso mkuu ni mkutano mkuu wa ma[[askofu]] kutoka pande zote za dunia na waamini wengine kadhaa ambao unafanyika kwa nadra sana katika [[Ukristo]].
Kadiri ya imani ya [[Kanisa Katoliki]], [[Yesu]] aliwakabidhi [[Mitume]] kumi na wawili uongozi wa [[Kanisa]] wakiwa kundi moja lenye mkuu wake, yaani [[Petro]].
 
==Mitaguso saba na umuhimu wake==
Vilevile waandamizi wao, yaani maaskofu wote, ni kundi moja na [[Papa]] wa [[Roma]] ndiye mkuu wao. Huyo peke yake, na kundi la maaskofu likiwa pamoja naye na chini yake, ndio wenye [[mamlaka]] ya juu katika Kanisa lote.
 
'''Mitaguso ya kiekumene''' (''kutoka [[Kigiriki]] oικουμένη ''oikumene'' yaani dunia inayokaliwa na watu'') ni jina linalotumika hasa kwa mikutano saba ya namna hiyo iliyofanyika kati ya mwaka [[325]] hadi [[787]] upande wa mashariki wa [[Dola la Roma]] (ulioendelea baadaye kama Milki ya [[Bizanti]]).
Mamlaka hiyo inatumika kwa namna ya pekee unapofanyika mtaguso mkuu, yaani mkutano maalumu wa maaskofu uliokubaliwa na Papa kuwa unawakilisha kundi hilo lote.
 
Orodha yake ni kama ifuatavyo:
Kwa kiasi fulani ndiyo imani ya [[Waorthodoksi]] pia, ingawa hao wanapunguza umuhimu wa mchango wa mamlaka ya Papa. Kwa namna ya pekee hao wanakataa mitaguso mikuu iliyofanyika baada ya utengano uliotokea kati yao na Papa. Hivyo baadhi yao wanakubali mitaguso mitatu ya kwanza tu, au ile minne ya kwanza tu, au ile saba ya kwanza tu kati ya ile 21 inayokubaliwa na Kanisa Katoliki, ambayo inaorodheshwa hapa chini.
 
Katika [[milenia]] ya kwanza ilifanyika mashariki ([[Uturuki]] wa leo):
 
1. [[Mtaguso wa kwanza wa Nisea]] (mwaka 325)
Line 23 ⟶ 21:
7. [[Mtaguso wa pili wa Nisea]] (787)
 
Mitaguso hiyo, iliyofanyika wakati wa [[Mababu wa Kanisa]], ilitoa maamuzi ya msingi juu ya mafundisho ya [[imani]] na [[sheria za Kanisa]] yaliyokuwa muhimu kwa maendeleo ya Ukristo ya baadaye.
8. [[Mtaguso wa nne wa Konstantinopoli]] (869-870)
 
==Mapokezi ya mitaguso saba==
Katika milenia ya pili ilifanyika magharibi ([[Italia]], [[Ufaransa]] na [[Ujerumani]] wa leo):
 
[[Mitaguso]] hiyo saba inakubaliwa hasa na [[Kanisa Katoliki]] na [[Waorthodoksi]], kutokana na msisitizo wao wa [[mapokeo]] na wa [[mamlaka ya kufundisha]] ya waandamizi wa [[mitume]].
 
[[Makanisa ya kale ya mashariki]] hukubali mitaguso mitatu ya kwanza tu, na [[Kanisa la Waashuru]] ile miwili ya kwanza. Kukataa maamuzi ya mitaguso iliyofuata ndiyo sababu ya mafarakano yao.
 
Madhehebu kadhaa ya Kiprotestanti (hasa [[Walutheri]], [[Waanglikana]], [[Wamethodisti]], [[Wamoraviani]]) yanakubali mitaguso hiyo kadiri inavyolingana na uelewano wao wa Biblia.
 
MsimamoHivyo wa [[Waprotestanti]] ni tofauti sana, kwa kuwa hao hawatii maanani [[mapokeo]] ili wasisitize umuhimu wa [[Biblia]]. Hata hivyo wengi wao wanashikilia imani juu ya [[Yesu Kristo]], juu ya [[Roho Mtakatifu]] na juu ya [[Utatu]] mtakatifu kama ilivyofundishwa rasmi katika mitaguso ya kwanza.
 
==Mitaguso ya baadaye==
 
Kutokana na umuhimu wa mitaguso mikuu kwa Kanisa Katoliki na kwa Waorthodoksi, mikutano mikuu ya maaskofu iliendelea kufanyika ikatazamwa pengine kama mitaguso ya kiekumene.
 
KatikaYafuatayo ni mitaguso mikuu inayohesabiwa katika kanisa katoliki. Karibu yote ilifanyika katika milenia ya pili ilifanyika magharibi ([[Italia]], [[Ufaransa]] na [[Ujerumani]] wa leo):
 
8. [[Mtaguso wa nne wa Konstantinopoli]] (869-870)
 
9. [[Mtaguso wa kwanza wa Laterano]] (1123)
Line 53 ⟶ 67:
21. [[Mtaguso wa pili wa Vatikano]] (1962-1965)
 
==Lengo la mitaguso==
Msimamo wa [[Waprotestanti]] ni tofauti sana, kwa kuwa hao hawatii maanani [[mapokeo]] ili wasisitize umuhimu wa [[Biblia]]. Hata hivyo wengi wao wanashikilia imani juu ya [[Yesu Kristo]], juu ya [[Roho Mtakatifu]] na juu ya [[Utatu]] mtakatifu kama ilivyofundishwa rasmi katika mitaguso ya kwanza.
 
Mitaguso mikuu ya kwanza ilifanyika hasa ili kubainisha katika mafundisho yaliyogongana yapi yanalingana na imani sahihi. Mwisho wake ulikuwa kutangaza dogma fulani na kutenga na Kanisa watakaokataa kuiamini na watakaofundisha tofauti.
 
Kumbe mitaguso iliyofanyika baada ya farakano la mwaka 1054 kati ya [[Kanisa la Mashariki]] na [[Kanisa la Magharibi]], pamoja na kulenga umoja uliovunjika na kufundisha dogma mpya, ilishughulikia zaidi urekebisho wa Kanisa katika ngazi na nyanja zote.

Kwa namna ya pekee mtaguso wa pili wa Vatikano tangu uitishwe ulijulikana kuwa wa kichungaji, yaani usio na lengo la kufundisha dogma mpya wala kulaani mafundisho mengine.
 
==Msingi wa imani kuhusu mtaguso mkuu==
 
Kadiri ya imani ya [[Kanisa Katoliki]], [[Yesu]] aliwakabidhi [[Mitume]] kumi na wawili uongozi wa [[Kanisa]] wakiwa kundi moja lenye mkuu wake, yaani [[Petro]].
 
Vilevile waandamizi wao, yaani maaskofu wote, ni kundi moja na [[Papa]] wa [[Roma]] ndiye mkuu wao. Huyo peke yake, na kundi la maaskofu likiwa pamoja naye na chini yake, ndio wenye [[mamlaka]] ya juu katika Kanisa lote.
 
Mamlaka hiyo inatumika kwa namna ya pekee unapofanyika mtaguso mkuu, yaani mkutano maalumu wa maaskofu uliokubaliwa na Papa kuwa unawakilisha kundi hilo lote.
 
Kwa kiasi fulani ndiyo imani ya [[Waorthodoksi]] pia, ingawa hao wanapunguza umuhimu wa mchango wa mamlaka ya Papa.
 
== Viungo vya Nje ==
*[http://www.ellopos.net/blog/?p=103 The Seven Ecumenical Councils, Select Online Resources]
*[http://www.piar.hu/councils/~index.htm All Catholic Church Ecumenical Councils - All the Decrees]
*[http://www.geocities.com/trvalentine/orthodox/8-9synods.html The Eighth and Ninth Ecumenical Councils]
*[http://90.1911encyclopedia.org/C/CO/COUNCIL.htm Council] in the 1911 [[Encyclopædia Britannica]]
*[http://www.newadvent.org/library/almanac_14388a.htm Catholic Encyclopedia: The 21 Ecumenical Councils]
 
[[category:Ukristo]]