Kitabu cha Tobiti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
umbo la tarehe
Mstari 1:
'''Kitabu cha Tobiti''' ni kimojawapo kati ya vitabu vya[[deuterokanoni]] vya [[Biblia ya Kikristo]].
 
Nakala zilizopatikana katika mapango ya jumuia ya [[Waeseni]] huko [[Qumran]] zinaonyesha kuwa kitabu hicho kiliandikwa kwanza kwa [[Kiaramu]] miaka 200 hivi [[K.K.KK]] hivi na kutafsiriwa mapema kwa [[Kigiriki]] katika [[Septuaginta]].
 
Inaonekana kuwa tafsiri ya [[Kilatini]] maarufu kwa jina la [[Vulgata]] iliyofanywa na [[Jeromu]] inategemea andiko asili.