Wokovu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Wokovu''' kwa jumla unamaanisha kuondolewa hali isiyopendeza. Kwa namna ya pekee, katika Ukristo '''Historia ya Wokovu''' ni wazo la msingi: maana yake ni kwamba katika mfulul...
 
No edit summary
Mstari 15:
Kadiri yao, wokovu unapatikana kwa njia ya [[uadilifu]] uliotazamwa kama utekelezaji kamili ya [[Torati]].
 
== Wokovu katika [[Agano JIpyaJipya]] ==
 
Maneno ya [[Kigiriki]] yanayotumiwa na Agano Jipya kumaanisha "kuokoa" na "wokovu" ni: σώζω (sōzō) e σωτηρία (sōtēria). Maana yake asili ni kuopoa kwa nguvu kutoka hatari (k.mf. ya [[ugonjwa]]).
 
Kwa kawaida [[Yesu]] alionyesha wokovu kuwa ni ukombozi kutoka dhambi ambao uanze kung'amuliwa mapema, ingawa utakamilika ahera.: ''"Mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka"'' ([[Injili ya Mathayo|Mathayo]] 10:22; 24:13).
 
Hasa [[Mtume Paulo]] alisisitiza wokovu ni tunda la [[kifo]] na [[ufufuko]] wa [[Yesu Kristo]], aliyeleta [[baraka]] zote kumpitia [[Roho Mtakatifu]], kama vile [[wongofu]], [[kuzaliwa upya]], [[utakaso]], [[kufanywa mwana]], [[utakatifu]] na [[utukufu]].
Mstari 27:
[[Siku ya mwisho]] matokeo ya wokovu yatahusu [[ulimwengu]] wote ambao utajumlishwa pamoja na [[historia]] yote katika Kristo, aliye [[Alfa]] na [[Omega]] ([[Waraka kwa Warumi|Warumi]] 8:21,22; Waefeso 1:10).
 
==Wokovu katika [[teolojia]] ya Kikristo==
 
Kutokana na mwelekeo wa watu wa magharibi, suala la mashari ya wokovu limeshika nafasi kubwa katika teolojia kuanzia [[Agostino wa Hippo]], wakati masuala ya kinadharia zaidi yakiwatawala Wakristo wa mashariki.
 
Ni suala hilo lililosababisha [[Matengenezo ya kiprotestanti]] katika [[karne ya 16]] na linaendelea kujadiliwa sana katika nchi zilipokea Ukristo kutoka nchi za magharibi.
 
[[Category:Dini]]