Zama za Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
*[[Wakati wa Kisasa]].
 
Kwa kawaida, Zama za Kati za Ulaya Magharibi huhesabiwa toka mwisho wa [[Dola la [[Roma]] ya Magharibi (karne ya 5) hadi kuanza kwa falme za kitaifa, mwanzo wa uvumbuzi wa ng’ambo ya Ulaya, Mwamkokipindi wacha Kipagani[[mwamko-sanaa]], na Matengenezo ya [[Waprotestanti]] kuanzia mwaka [[1517]]. Mabadiliko haya yalionesha mwanzo wa kipindi cha Zama za Kisasa ambacho kilitangulia mapinduzi ya viwanda.
 
[[Image:Caen Chato cheminronde.jpg|200px|right|thumb]]
 
Zama za Kati hujulikana kama “Kipindi cha Mediavo”, au kifupi “mediavo” (mara nyingine hutamkwa mediaevo au kihistoria, medievo, Kiingereza Middle Ages).
 
[[Category:Vipindi vya kihistoria]]