Mnara wa taa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar, ta, tl Badiliko: af, ro
d The file Image:Image62.gif has been replaced by Image:Lighthouse_-_Thiersch.gif by administrator commons:User:Deadstar: ''Was in category "Duplicate", exact duplicate''. ''Translate me!''
Mstari 3:
 
Siku hizi minara ina urefu kati ya mita 15 hadi 40. Kama mnara umejengwa mwambanoni juu ya jabali unaweza kuwa mfupi zaidi maadamu nuru yake inaonekana bila matatizo.
[[Image:Image62Lighthouse_-_Thiersch.gif|thumb|250px|Kichoro cha [[Pharos ya Aleksandria]]]]
==Minara ya taa ya kwanza==
Minara ya taa ya kwanza ilikuwa na moto juu yake na nuru ya moto ilionekana mbali. Mnara wa kwanza unaojulikana vizuri kihistoria ulikuwa [[Pharos ya Aleksandria]] nchini [[Misri]] uliyojengwa mnamo mwaka 282 KK. Ulisimama hadi mwaka 1303 BK ulipobomolewa na tetemeko la ardhi. Umekadiriwa kuwa na urefu wa mita 115 hadi 160. Wagiriki wa Kale waliuhesabu kati ya [[maajabu ya dunia|maajabu saba ya dunia]].