George Santayana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 23:19, 5 Oktoba 2006

George Santayana (16 Desemba, 186326 Septemba, 1952) alikuwa mwanafalsafa na mwandishi. Akiwa raia wa Hispania alilelewa na kusoma Marekani, kwa hiyo aliandika kwa lugha ya Kiingereza tu na kuangaliwa kama mwandishi Mmarekani. Anajulikana hasa kwa usemi wake "Wasiojifunza kutoka historia watairudia" (kwa Kiingereza: "Those who cannot learn from history are doomed to repeat it").