Biblia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Gutenberg Bible.jpg|thumb|right|300px|Biblia mojawapo iliyochapwa na Gutenberg.]]
'''Biblia''' ni jina la jumla kwa ajili ya vitabu vitakatifu vya dini ya [[Uyahudi]] na hasa ya[[Ukristo]]. Neno limetokana na lugha ya [[Kigiriki]] ambayo ndani yake '''βιβλία''' ''biblia'' ina maana ya "vitabu" ikiwa ni uwingi wa βιβλος ''biblos''. Hii ni kwa sababu Biblia ni mkusanyo wa maandiko mbalimbali yaliyoweza kutungwa kwa muda wa miaka 1000 hivi.