Daraja takatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|250px|Askofu akitoa upadrisho Katika Ukristo zinaitwa '''daraja takatifu''' vyeo vya askofu, kasisi na shemasi. Katika [[K...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:12, 5 Desemba 2008

Katika Ukristo zinaitwa daraja takatifu vyeo vya askofu, kasisi na shemasi.

Askofu akitoa upadrisho

Katika Kanisa Katoliki na ya Waorthodoksi zinaunda kwa pamoja sakramenti mojawapo.

Baadhi ya Waprotestanti wana huduma hizo lakini kwao si sakramenti.