Tofauti kati ya marekesbisho "Daraja takatifu"

No change in size ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
Katika [[Ukristo]] zinaitwa '''daraja takatifu''' vyeo vya [[askofu]], [[kasisi]] na [[shemasi]].
 
Katika [[Kanisa Katoliki]] na ya [[Waorthodoksi]] ngazi hizo tatu zinaunda kwa pamoja mojawapo ya [[sakramenti]] saba ambazo [[Yesu Kristo]]alizianzishwa alizianzisha na kulikabidhi [[Kanisa]] lake.
 
Baadhi ya [[Waprotestanti]] wana huduma hizo lakini kwao si sakramenti.