Hua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fi:Turturikyyhkyt
Nyongeza picha
Mstari 17:
| spishi = Angalia katiba
}}
'''Hua''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] mbalimbali katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Columbidae]]. Spishi nyingine huitwa '''tetere''', '''kuyu''' au '''fumvu'''. Wana rangi kijivu, kahawia na nyupe na spishi nyingi zina rangi pinki. Jenasi ya ''[[Streptopelia]]'' inatoka [[Afrika]] lakini spishi kadhaa zimeingia Ulaya na Asia. [[Hua mkufu wa Ulaya]] na hua madoa ([[w:Spotted Dove|Spotted Dove]]) wamewasilishwa katika [[Marekani]]. Hua hula [[mbegu]], [[tunda|matunda]], [[mmea|mimea]] na pengine [[mdudu|wadudu]]. Hujenga tago lao la vijiti kwa miti au miwamba au chini kati ya manyasi. Jike hutaga mayai mawili kwa kawaida.
 
==Spishi za Afrika==
Mstari 72:
Image:Watching Me?.jpg|Ruddy cuckoo-dove
Image:Macropygia phasianella.jpg|Brown cuckoo-dove
Image:Streptopelia bitorquata -Saipan-8.jpg|Island collared dove
Image:Spotteddove.jpg|Spotted dove
Image:Streptopelia orientalis 2.JPG|Oriental turtle dove