Planktoni : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 9:
Wadogo jinsi walivyo hawana nguvu kuogelea dhidi ya mikondo ya bahari kwa hiyo wanaelea tu baharini wakisukumwa na mwendo wa maji.
==Aina za planktoni==
Wataalamu wanatofautiisha aina tatu:
* Phytoplanktoni au '''planktoni mimea''' ni hasa aina za mwani ndogondogo inayoelea karibu na uso wa maji. Inatumia nuru ya jua kwa njia ya [[usanisinuru]] pamoja na [[madini]] ndani ya maji.
Line 14 ⟶ 15:
* Bakterioplanktoni au '''planktoni bakteria''' ambayo ni [[bakteria]] na [[archaea]] zinazooishi pamoja na planktoni nyingine
==Chanzo cha mtando chakula==
Planktoni ni chanzo cha [[
Planktoni kwa ujumla ni lishe kwa viumbe vikubwa zaidi baharini kama [[samaki]] ambao wenyewe wanaliwa na viumbe vikubwa tena.
Kuna pia [[nyangumi]] na [[papa (samaki)|papa]] wanaokula planktoni moja kwa moja kwa kuichotea
[[Category:Biolojia]]
|