Spishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
 
Mfano: [[mbwa]], [[mbweha]], [[mbweha wa Ethiopia]] na [[koyote]] wa Marekani wote ni spishi mbalimbali wa jenasi inayoitwa "canis". Ndani ya spishi hizi kuna nususpishi ambazo ni tofauti kiasi kwa maumbile na maisha lakini bado wanafanana kiasi cha kuzaa pamoja kama wanakutana.
 
==Nususpishi==
Nususpishi ni aina ya spishi moja inayoonesha tofauti za wazi na spishi wka jumla. Viumbe vya nususpishi moja wanaweza kuzaa na viumbe vya nususpishi nyingine lakini hii haitokei mara kwa kawaida; mfano moja ni ya kwamba eneo la nususpishi lipo mbali kwa hiyo hawakutani.
 
Nususpishi inapewa neno la tatu ndani ya jina lake.
 
==Jina la kisayansi==
Kila spishi inaweza kupewa jina la kisayansi kufuatana na kanuni za uainishaji. Hali halisi wanyama wakubwa wameshaainishwa karibu wote lakini bado kuna [[wadudu]], viumbehai wa baharini wengi na [[bakteria]] wengi ambao hawakuainishwa bado.
 
Jina la spishi huwa na maneno mawili: Kwanza jina la [[jenasi]] (linaloanza kwa herufi kubwa) halafu neno la pili la kutofautisha spishi (linaloanza kwa herufi ndogo).
 
Kwa mfano paka ni "Felis silvestris". Felis ni jenasi na paka yumo pamoja na wanyama wengine wanaofanana naye kama [[simba]], [[tiger]] au [[chui]]. Ndani ya spishi la Felis silvestris kuna nususpishi kadhaa; kwa mfano paka wa porini wa Afrika Kaskazini ''(Felis silvestris lybica)'' anayeaminiwa kuwa asili cha paka wa nyumbani ''(Felis silvestris catus)''.
 
{{stub}}