Arakinida : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: {{Uainishaji | rangi = pink | jina = Arakinida | picha = Brachypelma_edit.jpg | upana_wa_picha = 300px | maelezo_ya_picha = Buibui ni oda ndani ya arakinida | himaya = Animalia ...
 
No edit summary
Mstari 26:
 
Aina kati yao zinazojulikana zaidi ni [[buibui]] pamoja [[nge]] na [[visulisuli]]. Wadogo kati yao ni [[kupa]] na [[funduku]].
 
Miili huwa na pande mbili ambayo ni kichwa pamoja na kidari mbele na tumbo nyuma. Ila tu kwa funduku pande zote mbili hazionekani vizuri maadamu zimekua kama sehmu moja. Tabia inayoonekana vizuri ni miguu nane. Hata hapa [[funza]] za funduku wengi wana miguu sita tu.
Aina nyingi huwa na miiba ya sumu inayoweza kuuma. Kazi yake ni kusaidia uvindaji wa wanyama wengine lakini kwa spishi kadhaa sumu ni hatari hata kwa viumbe vikubwa kama binadamu akidungwa.