Chura : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: {{Uainishaji | rangi = pink | jina = Chura | picha = Caerulea3 crop.jpg | upana_wa_picha = 250px | maelezo_ya_picha = Chura wa mtini mweupe | himaya = Animalia (Wanyama) | faila...
 
No edit summary
Mstari 15:
 
==Utoto katika maji==
[[Image:Bufo metamorphosis.jpg|thumb|left|100px|Metamofosi ya kiluwiluwi cha chura]]
Maisha ya chura inaanza kama yai lililotegwa kwenye maji pamoja na mayai maelfu. Anatoka kwa umbo la [[kiluwiluwi]] ambacho ni [[funzo]] ya chura anaendelea na kipindi cha kwanza cha maisha yake katika maji. Anapumua kwa [[yavuyavu]] na mwanzoni hana miguu bali [[mapezi]] kama [[samaki]] na mkia. Viluwiluwi wengi wakiwa kwenye maji wanakula majani au mwani hata kama baadaye kama chura mzima wanakula wanyama wengine.