Korongo (Gruidae) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hi:सारस
dNo edit summary
Mstari 13:
| jenasi = Angalia katiba
}}
'''Makorongo''' hawa ni [[ndege]] wa [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Gruidae]] wenye domo fupi na jembamba kuliko lile la [[korongo (Ciconiidae)|makorongo]] wa familia ya [[Ciconiidae]]. [[Spishi]] nyingi hufanya mikogo ya kubembeleza jike wakitoa sauti kubwa. Huugana kwa maishi yao yote. Spishi za nchi za halijoto wastani huhama kila mwaka kabla ya wakati wa baridi. Makorongo hawa hupenda kuwa pamoja na huhama kwa makundi makubwa. Hula kila kitu kinachopatikana, kama [[panya]], [[mtambaazi|watambaazi]], [[amfibia]] au [[samaki]], hata [[nafaka]] na [[tunda|matunda]] madogo. Spishi za makorongo zinatokea mabara yote ghairi ya [[Amerika ya Kusini]].
 
==Spishi za Afrika==