Kiwolofu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kiwolofu''' ni lugha iongewayo nchini [[Senegal]], [[Gambia]], na [[Mauritania]]. Ni lugha rasmi kwa [[Wawolofu]]. Lugha hii ipo kama lugha jirani ya [[Kifula|Fula]] inayohesabiwa kati ya lugha za Kiatlantiki cha familia ya lugha za Niger-Kongo.
 
Kiwolofu ni lugha inayoongelewa sana nchini Senegal, haizungumzwi na WawolfuWawolofu tu (karibuni asilia 40 ya watu huzungumza kama [[lugha ya mama]]) bali hata Wasenegal wengine huzumgumza lugha hii. Lahaja za Kiwolofu zaweza kufanana sana kati ya nchi hizi mbili, yaani Senegal na Gambia, zikiwa sambamba kabisa kitabia na hata kuongelewa kieneo.
 
Idadi ya wasemaji kama lugha ya mama ni takriban milioni 3.2 na karibu idadi ileile hutumia Kiwolofu kama lugha ya pili.