Lugha za Afrika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
Vikundi vikubwa vya lugha za Kiafrika ni hasa:
* [[Lugha za Kiafrika-Kiasia]] - lugha 350 zenye wasemaji milioni 350 katika [[Afrika ya Kaskazini]] na [[Asia ya Magharibi]]
* [[Lugha za Kikongo-Kiniger]] - lugha 1,400 zenya wasemaji milioni 370 katika [[Afrika ya Magharibi]], [[Afrika ya Mashariki|mashariki]] na [[Afrika ya Kusini|kusini]] Hizi ni pamoja na [[lugha za Kibantu]] kama [[Kiswahili]].
* [[Lugha za Kisudani]] (Nilo-Sahara) - lugha 200 zenye wasemaji milioni 35 kati ya [[Sudani]] hadi [[Mali]]
* [[Lugha za Khoikhoi]] - lugha 28 zenya wasemaji 355,000 katika [[Afrika ya Kusini]]