Tofauti kati ya marekesbisho "Kinyunga (chakula)"

21 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
Kuna njia mbalimbali za kukoroga kinyunga ambacho ni chanzo cha [[mkate]], [[chapati]], [[keki]] au [[maandazi]]. Hata [[spaghetti]] zinaanza kama aina ya kinyunga lakini zinakaushwa kwanza na kupikwa baadaye.
 
Kwa matumizi ya mkate wa kuoka kinyunga kinahitaji kukaa na kuchachuka. Hii inatokea kwa kuongeza dawa la chachu au kukiacha kinyunga kwa siku moja hivi na kusubiri chachu asilia iliyopoambayo ni seli za [[hamira]] hewani.
 
Mikate bapa mara nyingi haihitaji chachu kama kinyunga kinatumiwa kwa umbo bapa na nyembamba sana kwa vile chapati au [[tortilla]] zinazoiva juu ya bati joto tu au kwenye sufuria.