Kiumbehai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: vls:Organisme
typo
Mstari 15:
* [[Eukaryota]] ni viumbehai wenye kiini cha seli na wanayama pamoja mimea vyote huhesabiwa hapa.
 
Vikundi hivi ni [[domeni]] 3 za [[uainishaji wa kisanyansikisayansi]].
 
[[Virusi]] ni kitu kati ya kiumbehai na vitu visivyo na uhai; wataalamu wengine husema ya kwamba haistahili kuitwa "kiumbehai" kwa sababu haiwezi kuzaa pekee yake haina umetaboli wake bali unategemea kuingia ndani ya seli na kutumia nafasi za seli kwa kuzaa kwake.