Kiunzi cha mifupa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fiu-vro:Luuvärk |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Image:Kiunzi cha binadamu.jpg|thumb|300px|Kiunzi cha binadamu]]
'''Kiunzi cha mifupa
Kiunzi cha binadamu huwa na mifupa 206. Mifupa inaunganishwa kwenye viungo kwa [[nyugwe]] inayowezesha mwili kuwa nyumbufu. [[Ukano]] huunganisha mfupa na [[misuli]] ikipeleka nguvu ya misuli kwa mfupa.
Kati ya wanyama kuna pia aina zenye [[kiunzi cha nje]] au zisizo na kiunzi. [[Arithropodi]] kama [[wadudu]] huwa na kiunzi cha nje.
|