Victoria, British Kolumbia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|450px|Victoria Inner Harbour pamoja na The Empress hotel kwa nyuma '''Victoria''' ni mji mkuu wa Mkoa wa British Kolumbia, Kanada. Mji umepewa...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:02, 15 Desemba 2008

Victoria ni mji mkuu wa Mkoa wa British Kolumbia, Kanada. Mji umepewa jina hili baada ya Malkia Victoria.

Victoria Inner Harbour pamoja na The Empress hotel kwa nyuma

Zaidi ya watu 300,000 wanaishi kwenye mji huu wa Victoria. Watu wengi wa huku hufanyakazi serikalini au kwenye sekta ya utalii. Mji una joto sana wakati huo kuliko miji mingine ya Kanada, Wakanada wengi huama pale wanapo stahafu kazi.

Viungo vya Nje