My Way (albamu ya Usher) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: {{Infobox Album <!-- See Wikipedia:WikiProject_Albums --> | Jina = My Way | Type = Studio | Msanii = Usher | Cover = My-way-usher-raymond.jpg | Imetolewa =...
 
No edit summary
Mstari 37:
Kwa bahati, ameanza zaidi ya kopi milioni sita kwa U.S. na zaidi ya milioni nane kwa hesabu ya dunia nzima na kuifanya kuwa albamu yake ilivyovunja rekodi ya albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina lake mwenyewe iliyopata mauzo hafifu.
 
Hii ni albamu ya Usher iliyofupi zaidi, yaani albamu ina nyimbo kumi tu. Albamu imepata kushika nafasi ya 4 katika U.S., nafasi ya 3 katika Kanada na 16 katika UK. Single zote zilizotoka kwenye albamu hii zimepata mafanikio makubwa kabisa, zikiwa single zote zimeshika nafasi ya kwanza au ya pili kwa U.S. na [[You Make Me Wanna]] ikashika nafasi ya kwanza katika UK na kuufanya wimbo wa kwanza wa [[Usher Raymond|Usher]] kushika nafasi ya kwanza katika UK.
 
==Orodha ya nyimbo==