Gurudumu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|Magurudumu ya ubao '''Gurudumu''' ni mtambo mwenye umbo la duara. Linaruhusu gari kutembea; magurudumu yanazunguka na kitu juu yake yanaenda ...
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Wagenraeder-FH000008 1.JPG|thumb|Magurudumu ya ubao]]
'''Gurudumu''' ni mtambo mwenye umbo la [[duara]]. Linaruhusu gari kutembea; magurudumu yanazunguka na kitu juu yake yanaenda mbele kwa kutumia nguvu kidogo.
 
Gurudumu linapunguza [[msuguano]]; badala ya msunguano wa kitu chote kinachosogea mbele kwenye ardhi kuna msuguano wa sehemu ndogo ya gurudumu na msuguano wa gurudumu kwenye mhimili wake. Msuguano kati ya mhimili na gurudumu unapunguzwa kwa njia ya kutia mafuta au kuweka [[gololi]] kati ya
gurudumu na mhimili.
 
Sehemu kubwa ya usafiri kwenye nchi kavu hutegemea magurudumu kwa mfano [[motokaa]], lori, [[reli]] ya kawaida na [[baisikeli]]. Magurudumu ni pia sehemu kubwa ya machine nyingi.