Botania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: haw:Kālailau nahele
No edit summary
Mstari 2:
'''Botania''' ni tawi la [[sayansi]] inyohusu utaalamu wa [[mimea]].
 
Ni kitengo cha [[biolojia]]. Inachunguza maumbile ya mimea, [[uainishaji]] wao, [[ekolojia]] ya mimea, mazingira yao, mahitaji na lishe yao, namna yao za kuzaa, jinsi zinavyokaa pamoja na kutegemeana na matumizi yao katika [[kilimo]].
 
{{mbegu}}