Laterani : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
viungo, jamii |
No edit summary |
||
Mstari 4:
Baada ya yeye kuruhusu [[Ukristo]] katika [[Dola la Roma]] (Hati ya [[Milano]], 313) ikulu liligeuzwa kuwa [[kanisa]] ambalo liliwekwa wakfu na [[Papa Melkiades]] (314), na mpaka leo linaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[kanisa kuu]] la [[jimbo]] la Roma na la ulimwengu mzima.
Tofauti na wanavyodhani wengi,
Jina rasmi ni kanisa la Kristo Mkombozi, lakini watu wanaliita kwa kawaida kanisa la Mt. Yohane (Mbatizaji) kwa kuwa nyuma yake ipo [[batizio]] kuu, tena juu ya ukuta wake wa mbele kandokando ya [[sanamu]] ya marumaru ya [[Yesu]], zipo zile za [[Yohane Mbatizaji]] na [[Mtume Yohane]].
Mstari 10:
Ndani, juu ya [[altare]] kuu yanatunzwa mafuvu ya vichwa vya [[Mtume Petro]] na [[Mtume Paulo]].
Ndani ya kanisa hilo mara tano ulifanyika [[mtaguso]]
Mpaka uhamisho wa [[Avignon]] ([[karne ya 14]]) mapapa waliishi karibu na kanisa hilo, na mpaka leo seminari kuu ya jimbo (pamoja na [[chuo kikuu]] cha Kipapa cha Laterano) iko nyuma yake.
|