Lugha za Afrika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
* [[Lugha za Kiafrika-Kiasia]] - lugha 350 zenye wasemaji milioni 350 katika [[Afrika ya Kaskazini]] na [[Asia ya Magharibi]], hasa [[Kiarabu]] na [[Kiamhara]]
* [[Lugha za Kikongo-Kiniger]] - lugha 1,400 zenya wasemaji milioni 370 katika [[Afrika ya Magharibi]], [[Afrika ya Mashariki|mashariki]] na [[Afrika ya Kusini|kusini]] Hizi ni pamoja na [[lugha za Kibantu]] kama [[Kiswahili]].
* [[Lugha za Kisudani]] (Nilo-Sahara) - lugha 200 zenye wasemaji milioni 35 kati ya [[Sudani]] hadi [[Mali]] na [[Tanzania]]. Kati yake kuna [[Kijaluo]] na [[KimasaiKimaasai]].
* [[Lugha za Khoisan]] - lugha 28 zenya wasemaji 355,000 katika [[Afrika ya Kusini]] na [[Tanzania]]. Wataalamu wanaelekea kuziona kuwa ndizo lugha zinazofanana zaidi na ile ya asili ya [[binadamu]]. Kati yake ipo lugha ya [[Wasandawe]] nawa ya [[Waburunge]]Tanzania.
 
Kuna pia maeneo penye wasemaji wa lugha zenye asili nje ya Afrika kama vile: