Wangoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Wangoni''' ni kabila la [[Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa Ruvuma]], hasa upande wa Kusini wa [[Songea]]. Pia wako [[Msumbiji]]. Lugha yao ni [[Kingoni]].
 
Asili yao ni katika matembezi ya [[Wazulu]] walioenea kutoka [[Afrika Kusini]] wakati wa [[karne ya 19]].
 
{{mbegu}}