Wilaya ya Ilala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Dar es Salaam Tanzania Samora Avenue around Daily News office.JPG|thumb|250px|Mtaa wa Samora ni kati ya barabara kuu za kitovu cha jiji]]
'''Wilaya ya Ilala''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Dar es Salaam]]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 637,573 [http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/ilala.htm]. Eneo lake ni 273 [[km²]].
 
Ilala yenyewe inahesabiwa kama [[manispaa]] ya Ilala ndani ya [[jiji]] la [[Dar es Salaam]]. Inajumlisha kitovu cha kihistoria cha Dar es Salaam ambako kuna ofisi nyingi za serikali pamoja na makampuni makubwa na maduka. Nafasi ya kitovu chenyewe ni [[sanamu ya askari]]; mitaa mingine maarufu ni [[Kariakoo]], [[Buguruni]], [[Kivukoni]] na kando lake iko [[Pugu]].