Arusha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: sv:Arusha
No edit summary
Mstari 1:
'''Arusha''' ni neno la kutaja watu na mahali katika [[Tanzania]] kazkazini-mashariki:
''Kwa matumizi tofauti ya neno "Arusha" tazama [[Arusha (maana)]]''
*Kabila la [[Waarusha]]
[[Image:Arusha_Clocktower.jpg|thumb|right|Mji wa Arusha]]
*[[af:Mkoa wa Arusha]]
[[Image:Arusha.jpg|thumb|right|Arusha na mlima wa Meru]]
*[[de:Wilaya ya Arusha]]
*[[Arusha (mji)|Mji wa Arusha]] ni makao makuu ya mkoa na wilaya, pia makao makuu ya [[Jumuiya ya Afrika ya Mashariki]]
 
{{maana}}
'''Mji wa Arusha''' ni kati ya miji kumi mikubwa ya Tanzania. Kuna wakazi 341,155 (mw. 2005 – kutoka mn. 50,000 mw. 1970). Eneo lake ni 1400m juu ya [[uwiano wa bahari]] likiwa karibu na mlima wa [[Meru]] (4565m). Utalii na kilimo ni mgongo wa uti wa uchumi. Kwa sababu ya idadi kubwa ya watalii mji umepachikwa jina la “Dar-es-Safari”. Kuna pia viwanda muhimu vya kahawa, kusaga nafaka, kusafisha ukonge, kukuza maua za kuleta nje, pombe ya bia.
 
[[Category:Miji ya Tanzania]]
Arusha ina nafasi muhimu katika [[Historia ya Tanzania]] na Afrika. Mji umeanzishwa na [[Wajerumani]] mnamo mw. 1899. Ndipo hapo ya kwamba wakoloni Waingereza walitoa sahihi hati ya kuitolea Tanganyika uhuru mw. 1961. Mw. 1967 chama tawala cha [[TANU]] kiliunga mkono Tamko la Arusha lililoanzisha kipindi cha [[Ujamaa]]. Kuanzia mw. 1967 hadi mw. 1977 Arusha ndipo makao makuu ya [[Jumuiya ya Afrika Mashariki]] hadi kuanguka kwa umoja huu. Tangu mw. 1995 Mahakama ya Kimataifa ya Ruanda ina makao hapo. Arusha ni makao makuu ya [[KKKT]], ambayo ni ofisi kuu ya [[Kanisa la Kiinjili Kiluteri Tanzania]].
 
==Viungo vya nje==
* {{en}} [http://www.ntz.info/gen/b00864.html Historia ya Arusha]
 
[[Category:Miji ya Tanzania]]
 
[[af:Arusha]]
[[de:Arusha]]
[[en:Arusha]]
[[es:Arusha]]
[[fa:آروشا]]
[[fi:Arusha]]
[[fr:Arusha]]
[[gl:Arusha]]
[[ja:アルーシャ]]
[[nl:Arusha]]
[[pl:Arusha]]
[[sv:Arusha]]