Volti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 4:
'''Volti''' ni kizio cha [[umeme]] tuli au kani mwendoumeme ambao ni tofauti ya [[utuli]] baina ya mahali pawili kwenye waya kipitishio na huchukua mkondo usiobadilika wa [[ampea]] 1 kama nguvu kati ya sehemu pawili ni wati moja.
 
Kifupi chake ni '''V''' ni kipimo cha [[SI]].
 
Fomula yake ni
:<math>\mbox{V} = \dfrac{\mbox{W}}{\mbox{A}} = \dfrac{\mbox{J}}{\mbox{C}} = \dfrac{\mbox{m}^2 \cdot \mbox{kg}}{\mbox{s}^{3} \cdot \mbox{A}}</math>
 
Maana yake volti moja ni sawa na [[hisa (hisabati)|hisa]] ya [[wati]] 1 gawanya kwa [[ampea]] 1.
 
 
Volti ni kipimo cha [[SI]]. Jina limetolewa kwa heshima ya mwanafizikia [[Alessandro Volta]] kutoka Italia.
 
[[Category:Vipimo sanifu vya kimataifa]]