Kiunzi nje : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|200px|Kichwa cha [[sisimizi: Chitini]] '''Kiunzi nje''' ni ganda au ngozi imara inayobeba na kulinda mwili wa mnyama kwa nje si kwa ndani kama [[kiunzi cha mif...
 
No edit summary
Mstari 9:
 
==Watu na kiunzi nje==
Watu wameanza kuiga mfumo wa wadudu kwa kujijengwa aina ya kiunzi nje. Kama

Tangu kale wanajeshi waliwahi kuvaa suti za chuma au bapa mbalimbali za metali zilizokinga kifua, kichwa na tumbo.

Katika [[tiba]] kama mguu umevunjika unafunikwa bendeji ya plasta itakayokuwa mgumu; kwa muda ni ganda la nje linalobeba uzito wa mwili badala ya mfupa unaoendelea kupona.
 
Katika teknolojia ya kisasa [[muhandisi]] wanachunguza suti za kuvaa kwa wajeruhiwa au walemavu zitakazowezesha kutembea tena.