Kiunzi cha mifupa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Kiunzi cha binadamu huwa na mifupa 206. Mifupa inaunganishwa kwenye viungo kwa [[nyugwe]] inayowezesha mwili kuwa nyumbufu. [[Ukano]] huunganisha mfupa na [[misuli]] ikipeleka nguvu ya misuli kwa mfupa.
 
Kati ya wanyama kuna pia aina zenye [[kiunzi cha nje]] au zisizo na kiunzi. [[Arithropodi]] kama [[wadudu]] huwa na [[kiunzi cha nje]].