Jinsia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Sperm-egg.jpg|thumb|right|Uzazi wa kijinsia wa binadamu na wanyama wengi unafanyika kwa mbegu mojawapo kati ya nyingi zinazobebwa na [[manii]] ya mzazi wa kiume kuungana na [[kijiyai]] cha jikemzazi wa kike. Picha hii iliyokuzwa sana inaonyesha mbegu inayojipenyeza katika kijiyaji cha duara.]]
 
'''Jinsia''' ni hali ya viumbe hai vingi kuwa vya kiume au vya kike, jambo muhimu katika mpango wa kuendeleza uhai kupitia uzazi.
 
==Binadamu==
Si viumbe vyote vinavyoendeleza uhai kwa njia ya uzaliano kijinsia;
*viumbehai vya mfuto kama [[bakteria]] vyenye mwili wa seli moja tu vinatumia uzaliano peke ambako seli hujigawa.
*mimea kadhaa huzaa kwa kutenga tu sehemu ya mizizi inayoanzisha mmea mpya; mbinu huo huo hufuatwa kwa kutumia [[kipandikizi]] cha kupanda katika [[kilimo]].
 
Kati ya wanadamu hali ya kuwa mwanamume au mwanamke inategemea nukta ya utungaji mimba na kudumu moja kwa moja.
Kuna pia njia ya kujizalisha ambayo ni namna ya pekee ya uzalioni kijinsia. Mimea kama karanga na pia wanyama kadhaa mfano vyawa na samaki kadhaa wanaweza kuanzisha wadogo bila manii ya kiume. Wanyama kama [[mategu]] ni [[huntha]] wanaobeba manii pamoja na vijiyai mwilini na wanzaa ndani yao.
 
Inatokana na milioni za mbegu zilizomo kwa kawaida katika [[shahawa]] ya mwanamume, ambazo baadhi yake ni za kiume (zenye [[chembeuzi Y]]) na baadhi za kike [[chembeuzi X]].
==Binadamu==
Kati ya wanadamu hali ya kawaida ni ama kuwa mwanaume au mwanamke.
 
Kijiyai cha mwanamke hakichangii uainishaji wa jinsia, kwa kuwa kina [[chembeuzi X]] tu.
Tofauti inaundwa na
 
*[[Vyembeuzi]] (kromosomi) kijinsia yaani XX kwa mwanamke na XY kwa mwanaume
Ikiwa mbegu inayowahi kujipenyeza katika kijiyai cha mwanamke ni ya kiume, [[mimba]] itakuwa ya kiume (XY), kumbe ikiwahi moja ya kike, mimba itakuwa ya kike (XX).
*kuwepo kwa viungo vya uzazi kama
Kulingana na tofauti hiyo, binadamu huyo mpya atazidi kukua na kutokeza viungo maalumu vya uzazi kama
**[[uterasi]] (mji wa mimba), [[ovari]] na [[kuma]] upande wa mwanamke au
**[[mboo]] na [[korodani]] upande wa mwanaume.
Viungo hivyo vitakomaa wakati wa [[ubalehe]].
* homini kijinsia za kutosha zilizo tofauti kwa kila jinsia.
 
Ni pia muhimu kazi ya [[chachu za jinsia]] (homoni za jinsia) zilizo tofauti kwa mwanamume na mwanamke.
Katika kila jamii kuna idadi fulani ya watu ambao ndani yao hizi pande tatu si kamili yaani watu wenye viungo vya uzazi vya kike au kiume lakini hawajisikii ipasavyo na hii inatokana kwa kawaida ama kutoka kwa hali ya pekee ya vyembeuzi au kuwepo kwa homoni za jinsia nyingine. Kuna pia watu wanaozaliwa na viungo vya uzazi vya kila aina.
 
Sehemu kubwafulani ya tofauti kati ya jinsia mbili hutegemea si maumbile ya kimwili tu lakini pia utamaduni.
 
==Hali za watu zisizo za kawaida==
 
Katika kila jamii, hasa zilizoendelea, kuna idadi fulani ya watu ambao hali ya jinsia si ya kawaida kutokana na hali ya pekee ya vyembeuzi (hasa XYY na XXY) au uwepo wa homoni za jinsia nyingine ndani yao au uwepo wa viungo vya uzazi mchanganyiko au visivyo kamili au visivyoeleweka. Hata hivyo chembeuzi Y inathibitisha kuwa mhusika ni wa kiume.
 
Watu wengine wana tatizo la [[utasa]], ambalo linazidi kuongezeka hasa katika nchi zilizoendelea hata kuvuka asilimia 10% ya binadamu.
 
Wengine, kwa sababu zisizoelezeka vya kutosha na [[biolojia]] wala [[saikolojia]] hawajisikii ipasavyo na jinsia yao (hasa [[ubaridi wa kijinsia]] na elekeo la [[ushoga]] na [[usagaji]]).
 
==Viumbe hai visivyozaliana kijinsia==
 
Si viumbe vyote vinavyoendeleza uhai kwa njia ya uzaliano kijinsia;
*viumbehai vya mfuto kama [[bakteria]] vyenye mwili wa seli moja tu vinatumia uzaliano peke ambako seli hujigawa.
*mimea kadhaa huzaa kwa kutenga tu sehemu ya mizizi inayoanzisha mmea mpya; mbinu huohiyo huohiyo hufuatwa kwa kutumia [[kipandikizi]] cha kupanda katika [[kilimo]].
 
Kuna pia njia ya kujizalisha ambayo ni namna ya pekee ya uzalioni kijinsia. Mimea kama karanga na pia wanyama kadhaa mfano vyawa na samaki kadhaa wanaweza kuanzisha wadogo bila manii ya kiume. Wanyama kama [[mategu]] ni [[huntha]] wanaobeba manii pamoja na vijiyai mwilini na wanzaa ndani yao.
 
[[Category:Biolojia]]
[[Category:Jinsia]]
[[Category:Saikolojia]]