Ekaristi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|200 px|right|Vipaji vya [[mkate na divai vilivyoandaliwa kwa adhimisho la ekaristi.]] Kwa Wakristo '''Ekaristi''' ni sakramenti i...
 
No edit summary
Mstari 13:
 
Simulizi la zamani zaidi ni lile la [[Barua ya kwanza kwa Wakorintho|1Kor]] 11:23-25. Likafuata lile la [[Injili ya Marko|Mk]] 14:22-24; halafu yale ya [[Injili ya Mathayo|Math]] 26:26-28 na [[Injili ya Luka|Lk]] 22:19-20.
 
 
==Asili==
Line 25 ⟶ 24:
==Maendeleo==
 
[[Image:BentoXVI-51-11052007.jpg|thumb|left|360px|[[Papa Benedikto XVI]] akiadhimisha ekaristi]]
Karne zilizofuata ibada ilizidi kubadilika, hasa ilipotenganishwa na mlo wa kawaida ulioendana nayo awali.
 
Mstari 30:
 
Kati ya namna mbalimbali za kuiadhimishwa, yalijitokeza mapokeo ya mashariki na ya magharibi.
 
Kwa jumla mapokeo ya mashariki yanahusisha milango ya fahamu na ni ya fahari kuliko yale ya magharibi.
 
==Teolojia==
 
Ekaristi inahusiana sana na [[Pasaka]], na [[kifo]] na [[ufufuko]] wa [[Yesu]] vilivyotokea kwenye sikukuu hiyo ya [[Wayahudi]].
 
Kadiri ya Injili Yesu Kristo aliweka ekaristi wakati wa kuadhimisha karamu ya Pasaka ya Kiyahudi, akaipatia maana mpya kuhusiana na kifo na ufufuko wake.
 
[[Madhehebu]] mengi ya Kikristo yamekubali hati ya ki[[ekumeni]] ya [[Lima]] ([[1982]]) inayosema "Ekaristi ni ukumbusho wa Yesu msulubiwa na mfufuka, yaani ishara hai na ya nguvu ya sadaka yake, ambayo ilitolewa mara moja tu msalabani na inaendelea kutenda kwa faida ya binadamu wote".
 
 
[[Category:Ukristo]]